Sheria na masharti
Masharti haya yanahusu oda zote zinazotumwa kupitia tovuti ya Widetech Solutions.
Oda
Oda inathibitishwa pale tunapokupigia simu. Bei inayoonekana ni bei ya simu; gharama ya usafiri tunakuambia kabla ya kutuma.
Malipo
Unalipa dukani au simu ikikufikia. Hatupokei malipo mtandaoni kwa sasa.
Stoo
Simu zinazoonekana zipo dukani wakati huo. Simu ikiuzwa kabla ya oda yako kuthibitishwa, tunakujulisha na kukupa chaguo jingine.