Skip to content
SW EN

Kurudisha na warranty

Kila simu inayouzwa na Widetech Solutions ina warranty ya siku 30 kuanzia siku uliyoinunua.

Warranty inahusu nini

Hitilafu za simu yenyewe zinazotokea ndani ya siku 30: kuwaka, chaji, skrini kugusa, mtandao, spika na kamera. Ilete dukani pamoja na risiti yako; tunaitengeneza au tunaibadilisha.

Warranty haihusu

Simu iliyovunjika, iliyoingia maji, iliyofunguliwa na fundi mwingine, au ambayo IMEI yake hailingani na risiti.

Kurudisha simu

Ukiipokea simu ikiwa tofauti na uliyoagiza, tujulishe ndani ya saa 24 tuibadilishe.

Simu: +255 768 447 565. Duka: Kariakoo, Masasi Street, Horizon Tower 1, ghorofa ya kwanza, chumba N0011.

Added to basket View basket